Je, ushauri ni wa faragha?
Ndiyo, ushauri wote hufanyika kwa faragha kabisa kupitia WhatsApp.
Ninawezaje kuwasiliana?
Tumia WhatsApp kwa nambari 0622 471 460 kwa ushauri wa haraka.
Je, mnapotoa huduma za usafirishaji?
Ndiyo, tunahakikisha bidhaa zinawafikia wateja Dar es Salaam.
Ninawezaje kulipia huduma?
Malipo yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa au pesa taslimu.
Bidhaa zinaletaje matokeo?
Bidhaa zinaweza kusaidia afya yako, lakini ushauri wa hospitali ni muhimu.
Je, kuna tahadhari za kutumia?
Tafadhali fuata maelekezo na usisite kuuliza maswali yoyote.
Your cart is currently empty!
Notifications